PRIME Kwa nini mhimili wa nne unahitaji kuwezeshwa? Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano mitatu muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na mkutano mkuu wa 13 wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), mgeni rasmi alikuwa...
PRIME Mabadiliko ya Katiba yanapaswa kuhojiwa Wiki iliyopita tuliishia pale Mchungaji Christopher Mtikila aliposhinda kesi ya mgombea binafsi na Serikali kukata rufaa ikashindwa, hoja za Serikali zilishindwa kwa hoja kama ifuatavyo.
PRIME Mahakama ilivyoulinda ubatili kwenye Katiba kuhusu mgombea binafsi Kwa wasomaji wapya, leo naendelea na makala elimishi kuhusu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) kwa jicho la mtunga Katiba, alidhamiria nini wakati anaweka kifungu fulani.
PRIME Sababu mihimili mitatu kushindwa kuwajibishana Katika toleo lililopita, tuliangalia dhana ya “Katiba ndio sheria mama” na kuona mchakato mzima wa Bunge kutunga sheria na namna Bunge linavyoweza kufanya makosa katika kutunga sheria, Serikali...